Ile Filamu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na Watanzania wengi, Filamu iliyoandaliwa chini ya Kampuni mashuhuri na inayokuja kasi katika Tasnia ya Filamu Tanzania, Kampuni ya LUSSE THE BIG FILM COMPANY sasa itazinduliwa rasmi tarehe 18 JANUARY 2015
BEHIND THE PASTORS ni Filamu ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu sana, ndani ya Filamu hiyo utakutana na Peter Lusse, Mzee Jengua, Mzee Magari, Stanley Msungu na Waimbaji wengine wengi
ITS A MUST WATCH MOVIE
No comments:
Post a Comment