loop 4

 photo loop-4_zpsuur1zyk7.gif

Tuesday, 20 June 2017

WIMBO MPYA WA GOSPEL ULIOIMBWA KWA KISWAHILI NA MSANII WA NIGERIA (PEACEKING_NAMWAMINI MUNGU)

Cheki huyu msanii kutoka Nigeria anavyomsifu Mungu kwa uimbaji tena kwa lugha ya Kiswahili

WIMBO MPYA WA INJILI KUTOKA KWA PEACEKING DAVID AKIWA NA CHRISTINA SHUSHO (CHIBUIKEM)

Huyu ni msanii wa nyimbo za injili kutoka Nigeria akishirikiana na Christina Shusho, Nyimbo zake zote kaimba kwa kiswahili. Kweli lugha ya kiswahili inazidi kupata kibari kila kukicha. Barikiwa sana na huu wimbo