loop 4

 photo loop-4_zpsuur1zyk7.gif

Wednesday, 7 October 2015

WIMBO MPYA WA INJILI KUTOKA KWA REBEKA SAGUDA (YUAJA BWANA)

Album yenye wimbo huu wa Yuaja Bwana sasa ipo madukani kote nchini.. Pata nakala yako sasa

WIMBO MPYA WA INJILI KUTOKA KWA REBEKA SAGUDA (TUTARUKARUKA)

Tubarikiwe sote pamoja na wimbo huu wa kumsifu Mungu,,

WIMBO MPYA WA INJILI KUTOKA KWA REBEKA SAGUDA (KWA NEEMA)

Wimbo huu unapatikana katika Album ya "ATARUDI NA MAWINGU" ya kwake REBEKA SAGUDA.. Sasa ipo madukani kote nchini

WIMBO MPYA WA INJILI KUTOKA KWA REBEKA SAGUDA (ATARUDI NA MAWINGU)

Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Injili, huu ni wimbo mwingine tena kutoka kwa REBEKA SAGUDA katika album yake mpya inayoitwa ATARUDI NA MAWINGU. Album hii sasa ipo sokoni.